PAGE D ACCUEIL SWAHILI MAISHA YANGU ÉVANGÉLISATION ÉDUCATION SOINS MÉDICAUX DÉVELOPPEMENT M ÉDAILLES D HONNEUR M IKEREREZI
INGILIO SEHEMU YA KWANZA SEHEMU YA PILI SEHEMU YA TATU SEHEMU YA INNE SEHEMU YA TANU HATIMAYE DR.
BULANGALIRE RUHIGITA
SEHEMU YA...
More

SEHEMU YA TATU
Mazito tuliyo kutuna kazini mwa Bwana
37
Mazito tulivo kutana kazini mwa Bwana
Katika Biblia, tvinasoma juu ya kuteswa kwa ajili ya haki na vilevile kuteswa pamqja na Yesu.
Warumi 8:10-17.
Dhiki hutuleteya saburi.
Warumi 5 :3
Miaka ya 1964 mpaka 1967 ilikuwa kweli miaka ya dhiki na mateso makubwa mno.
Wakati Rebellion iliingia nchini, kazi zote zilisimama na majengo yote
kuharibika hasa huko Uvira, Lemera, Fizi na Kalemie.
Wamisionari wote wa Uvira na Lemera walipashwa kuondoka.
Sisi tulibaki kizuwizini, (en ottage)
mwaka wa 1964-1965.
Ishara ya Mungu huko Lemera.
Nilibaki kizuwizini kwa mda wa mwaka moja na mara 84 kwa kusudi la kufa.
Mungu alinisaidia mno.
Wakati wakristo wetu walikuwa pamoja katika maombi na walitiwa nguv
Less