PAGE D ACCUEIL SWAHILI MAISHA YANGU ÉVANGÉLISATION ÉDUCATION SOINS MÉDICAUX DÉVELOPPEMENT M ÉDAILLES D HONNEUR M IKEREREZI
INGILIO SEHEMU YA KWANZA SEHEMU YA PILI SEHEMU YA TATU SEHEMU YA INNE SEHEMU YA TANU HATIMAYE DR.
BULANGALIRE RUHIGITA
SEHEMU YA...
More

SEHEMU YA KWANZA
kuzaliwa kwangu
Maisha yangu yote yalipita vitani kwa ajili ya Kristo
I.
Kuzaliwa kwangu
Nimezaliwa katika jamaa la Majagira, mjini Buhula Buemba huko Kivibwe, Uvira.
Baba yangu ni Majagira Muhasha mwana wa Bugwika kabalabala na mama
yangu aliitwa Shegamo Nakitami.
Ukoo wangu ni Mulabwe kwa kabila la Wafuliiru, mkaaji wa asili ya Uvira.
Munanira labwe ni mji wetu wa asili kwa jumla.
Mulabwe aliwazaa wana wengi wa kiume kama vile wa kike pia.
Yeye:
1) Ndiye Babu wa MULUTA na RUTAHINDWA-LENGE wa Uvira
2) Ndiye Babu wa KERE na wote wanao ishi Sange
3) Ndiye Babu wa KAMANGA na wote wanao ishi Ndegu na Mugaja
4).
Ndiye Babu wa BUGWIKA, MWENGE na wote wanao kaa buhula na Bunemba huko Kivibwe, Uvira na penginepo.
Kwa leo kizazi c
Less