PAGE D ACCUEIL SWAHILI MAISHA YANGU ÉVANGÉLISATION ÉDUCATION SOINS MÉDICAUX DÉVELOPPEMENT M ÉDAILLES D HONNEUR M IKEREREZI
INGILIO SEHEMU YA KWANZA SEHEMU YA PILI SEHEMU YA TATU SEHEMU YA INNE SEHEMU YA TANU HATIMAYE DR.
BULANGALIRE RUHIGITA
SEHEMU YA...
More

SEHEMU YA INNE
Miradi kwa kusaidia jamaa
43
1.
Miradi kwa kusaidia Jamaa
Biblia inatuambia yakuwa, Mchungaji awe mwenye kujua kusimamia nyuma yake vema.
.
.
Mtu asiyejua kusimamia nyumba yake mwenyewe atalitunza je
kanisa la Mungu ? 1 Tim.
3 :4
Katika lile neno tunaona kwamba mchungaji wa Makanisa analo pia daraka juu yake mwenyewe na daraka kwa kulitunza jamaa lake mwenyewe.
Hatuwezi
kuwasahau watoto wetu kwa kuwalisha, kwa kuwasomesha, kwa kuwavika na pia kufikiri juu ya maisha yao, ya baadaye, kirohoni, kimwilini na kinafsini :
• Kwa habari za kiroho, kuwaonyesha Bwana Yesu Kristo anayeweza kuwaponya na kuwaokoa.
• Kwa habari ya mwili, tutawafunza kwa njia zote, ili wapate kuujenga mwili, kuulisha na kuutunza, wanahitaji chakula safi, maji
Less