PAGE D ACCUEIL SWAHILI MAISHA YANGU ÉVANGÉLISATION ÉDUCATION SOINS MÉDICAUX DÉVELOPPEMENT M ÉDAILLES D HONNEUR M IKEREREZI
INGILIO SEHEMU YA KWANZA SEHEMU YA PILI SEHEMU YA TATU SEHEMU YA INNE SEHEMU YA TANU HATIMAYE DR.
BULANGALIRE RUHIGITA
SEHEMU YA...
More

SEHEMU YA PILI
Huduma kanisani
23
I.
Huduma
Kiisha kulitumikia kanisa la Uvira miaka makumi mbili ya huduma ya Uinjilisti na Uwalimu, (tangu 1940 hadi 1960).
Kwa miaka hiyo ya kazi, nilitumika pia
kama Inspecteur wa masomo ya msingi kwa AEP, kwa ESAM, kwa BAMS na kwa UMPBGJ.
Wakati huo politique ya Congo-Beige ilianza kubadirika.
Mwisho wa
colonie Belge ilikaribia.
Kwa mwaka wa 1958, Mission Libre Suédoise ambalo ndilo kanisa letu, lilinituma Ulaya huko Ubelgigi kwa kuliwakilisha kwa siku kuu za EXPO 58 pale
Bruxelles.
Kutôka huko niliitwa kuhubiri kwa makanisa mama ya huko Suede.
Kwa safari hiyo, tulifika pia Bruxelles, Brige, Gand, Anvers, Mans, Charleroi
Hainaut, vilevile miji mikubwa Amsterdam na Kôpenhagen.
Kwa inchi ya Suede tulipata
Less